TANGAZO


Tuesday, September 26, 2017

CBA YAWAPATA WASHINDI WA DROO YA TATU YA FUNGUA AKAUNTI, WEKA AKIBA, USHINDE NA CBA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki wa Benki ya CBA kwa wateja binafsi, Julius Konyani, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa kuchezeshwa droo ya tatu ya promosheni ya Fungua akaunt, Weka akiba na Ushinde, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemedi na kushoto ni Mkuu wa Mauzo na Mahusiano ya Kibenki wa CBA, Godson Biyengo.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki wa Benki ya CBA kwa wateja binafsi, Julius Konyani, akibonyeza kitufe cha kompyuta kwa ajili ya kuchezesha droo ya kuwapata washindi wa promosheni ya Fungua akaunt, Weka akiba na Ushinde, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemedi na kushoto ni Mkuu wa Mauzo na Mahusiano ya Kibenki wa CBA, Godson Biyengo.  
Mkuu wa Mauzo na Mahusiano ya Kibenki wa CBA, Godson Biyengo, akimuonesha Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki wa Benki ya CBA kwa wateja binafsi, Julius Konyani (katikati) na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemedi, mshindi wa droo ya tatu ya promosheni ya benki hiyo, ya Fungua akaunt, Weka akiba na Ushinde, mara baada ya kuchezeshwa, Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki wa Benki ya CBA kwa wateja binafsi, Julius Konyani, akizungumza na mmoja wa washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya Fungua akaunt, Weka akiba na Ushinde, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemedi na kushoto ni Mkuu wa Mauzo na Mahusiano ya Kibenki wa CBA, Godson Biyengo. 

No comments:

Post a Comment