MAMBO yanazidi kuwa mazuri kwa
wanaoenda na wakati kadri siku zinavyozidi kwenda kufuatia
ukuaji wa kitekenolojia siku hadi siku, hali hii inazidi kuleta manufaa na msukumo
mkubwa wa kimaendeleo Duniani hasa kwa kurahisisha Nyanja za utendaji kazi katika
biashara.
Dar es Salaam Kampuni ya Candy and Candy imekuja kivingine msimu
huu wa Ramadhan kwa kutumia mfumo mpya tuliouanzisha wa kiteknolojia “Nikohub” tumeanza
mchakato wa kufuturisha watu 100 kila siku kwamuda wa siku kumi.
Ili upate kushiriki Futari unatakiwa
ku-download Nikohub kwenye Play Store
katika simu yako.
Kisha jiunge ili tuweze kukuona
kwenye mfumo wetu na uingie kwenye list ya watu 100 watakao kula futari leo.
Ukifanikiwa ku-downlod ututumie
SMS au piga 0765802457 tukuelekeze sehemu ya kwenda kula futari maeneo ya huko uliko
ni bure!.


No comments:
Post a Comment