TANGAZO


Wednesday, June 7, 2017

Ndege ya Burma iliyo na abiria 100 yatoweka

Taarifa za hivi punde

Image captionTaarifa za hivi punde
Ndege moja ya jeshi la Burma, iliyokuwa imewabeba zaidi ya watu 100, imetoweka angani.
Hayo ni kwa mjibu wa taarifa kutoka kwa wakuu wa nchi hiyo.
Ndege hiyo ya kijeshi, ilikuwa ikipaa kati ya Yangon (Rangoon) na mji ulioko kusini mwa nchi hiyo wa Myeik. Shughuli za kutafuta na kuokoa manusura zinaendelea.
"Tulipoteza mawasiliano na ndege hiyo mwendo wa saa nne na dakika 35 leo asubuhi saa za Afrika Mashariki [07:05 GMT], pale ndege hiyo ilipofika maili 20 magharibi mwa mji wa Dawei," jeshi la Burma limesema kwa njia ya taarifa..
Kulikuwa wana abiria 105 na wafanyikazi 11 kwenye ndege hiyo, duru kutoka uwanja wa ndege zimeiambia shirika la habari la AFP.
The military did not say how many people the Chinese-built military transport aircraft was carrying.
Military planes and helicopters have been dispatched to the area.
The plane was flying over the Andaman Sea when it went missing, the statement added.

No comments:

Post a Comment