TANGAZO

Tuesday, June 6, 2017

KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA NA KUKAGUA MAKAZI YA WAZEE NJORO YALIYOPO MOSHI MKOANI KILIMANJARO

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo ya Jamii)  Bi. Sihaba Nkinga akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Makazi ya kulea wazee ya Njoro hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii)  Bi. Sihaba Nkinga(kulia) akizungumza na Afisa Mfawidhi wa  Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njoro Bibi Ndeta Tenga (kushoto) wakati alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni. 
Afisa Mfawidhi wa  Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njoro Bibi Ndeta Tenga (kushoto) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii)  Bi. Sihaba Nkinga(kulia) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njoro Bibi Ndeta Tenga (katikati) akimuonesha mazingira ya kituo hicho Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii)  Bi. Sihaba Nkinga(kushoto) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni. 
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii)  Bi. Sihaba Nkinga akisalimiana na wazee mbalimbali waishio katika Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njoro wakati alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni. 

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii), Bi. Sihaba Nkinga (kulia) akisalimiana na na Mwenyekiti wa wazee waishio katika Makazi ya kulea wazee ya Njoro  yaliyopo Moshi Mkoani kilimanjaro  Bw. Nyasi Athanas wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni. 
Baadhi ya maeneo ya kituo cha Makazi ya kulea wazee cha Njoro yaliyopo Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya maeneo ya kituo cha Makazi ya kulea wazee cha Njoro yaliyopo Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya maeneo ya kituo cha Makazi ya kulea wazee cha Njoro yaliyopo Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii), Bi. Sihaba Nkinga (kulia), akiwa katika picha ya pamoja na wazee waishio katika Makazi ya kulea wazee ya Njoro yaliyopo Moshi Mkoani kilimanjaro, alipotembelea katika makazi hayo, hivi karibuni. (Picha zote na Raymond Mushumbusi-Maelezo, Moshi, Kilimanjaro)

No comments:

Post a Comment