Balozi wa Jamhuri
ya Korea hapa nchini Mhe. Song, Geum-young akizungumza
na washiriki wa Tamasha la Ngoma
za asili za nchi hiyo (hawapo pichani) jana Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Wasanii kutoka Jamhuri ya Korea wakionesha moja ya ngoma za aslili za nchi hiyo wakati wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Wasanii kutoka Jamhuri ya Korea wakionesha moja ya ngoma za aslili za nchi hiyo wakati wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya watazamaji kutoka Jamhuri ya Korea na Tanzania wakifuatilia ngoma mbalimbali zilizokuwa zikioneshwa katika Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa nne kulia waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa ngoma za asili kutoka Jamhuri ya Korea wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Genofeva Matemu - WHUSM)







No comments:
Post a Comment