TANGAZO


Sunday, March 19, 2017

MD KAYOMBO AKAGUA UKARABATI WA BARABARA YA SIMU 2000


Trekta ambalo linafanya kazi ya kukarabari barabara ya Simu 2000.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akikagua barabara ya simu 2000 ambayo ipo kwenye matengenezo ya dharura.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akielekeza jambo kuhusu ukarabati wa barabara hiyo, Wengine ni Meneja wa stendi ya Simu 2000 Bakari Shehoza na Injinia wa Ujenzi katika Manispaa ya Ubungo Ndg Goodluck Mbanga.
MD Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akisisitiza jambo.

No comments:

Post a Comment