Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mwakilishi wa
Jimbo la Uzini, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja akizungumza na waandishi
wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam, kuhusu kuunga mkono juhudi
za Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. John Pombe
Magufuli katika vita dhidi ya dawa za kulevya nchini.(Picha zote na Frank Shija – Maelezo)
Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mwakilishi wa
Jimbo la Uzini, wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja akizungumza na waandishi
wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari - Maelezo leo Jijini Dar es Salaam,
kuhusu kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Amiri Jeshi
Mkuu Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika vita dhidi ya dawa za kulevya nchini.

No comments:
Post a Comment