TANGAZO

Monday, December 5, 2016

NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI AUFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM

Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto), akilakiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Dk. Haruni Kondo (kulia) pamoja na uongozi wa shirika hilo, alipowasili kwa ajili ya kuufungua mkutano wa Baraza Kuu la shirika, akimwakilisha Waziri wa wizara hiyo, Profesa Makame Mbarawa jijini Dar es Salaam leo.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)  
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimpokea mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani wakati akiingia kwenye ukumbi wa mkutano huo kuufungua rasmi.
Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (katikati), akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini leo, tayari kuufungua Mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC). Kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya TPC, Dk. Haruni Kondo na kulia ni Mwenyekiti wa baraza hilo, Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika hilo, Fortunatus Kapinga.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika ukumbi wa mkutano kusubiri kufunguliwa rasmi mkutano wao wa baraza hilo.
Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Shirika la Tanzania, Kaimu Postamasta Mkuu, Fortunatusa Kapinga, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo (kushoto), kuzungumza na kumkaribisha Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (katikati), kuufungua mkutano wa baraza hilo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza Kuu la shirika hilo, Kaimu Postamasta Mkuu, Fortunatusa Kapinga, wakati akizungumza.

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Dk. Haruni Kondo, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (katikati), kuufungua mkutano wa Baraza Kuu la shirika hilo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo, wakati akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani kuufungua rasmi. 

Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (katikati), akizungumza wakati akiufungua mkutano wa Baraza Kuu la shirika hilo, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani wakati akiufungua rasmi mkutano wa baraza hilo.

Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (katikati), akiufungua mkutano wa Baraza Kuu la shirika hilo, jijini leo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani wakati akiufungua rasmi mkutano wa baraza hilo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani wakati akiufungua rasmi mkutano wa baraza hilo. 
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani wakati akiufungua rasmi mkutano wa baraza hilo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani wakati akiufungua rasmi mkutano wa baraza hilo.
Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Baraza kuu wakati alipokuwa akiufungua rasmi mkutano huo, akimwakilisha Waziri wa wizara hiyo, Profesa Makame Mbarawa, jijini leo.  
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani wakati akiufungua rasmi mkutano wa baraza hilo.
Mjumbe wa Mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta, Kaimu Meneja wa Mkoa wa Dar es Salaam, Magreth Mlyami, akitoa salamu za shukrani kwa mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani mara baada ya kuufungua rasmi mkutano wa baraza hilo. 
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika ufunguzi wa mkutano wa baraza hilo.
Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (wa tatu kutoka kulia, mstari wa mbele), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la shirika hilo, mara baada ya kuufungua mkutano huo, jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment