TANGAZO


Wednesday, November 9, 2016

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO, NOVEMBA 9, 2016

Juu na Chini: Baadhi ya Wabunge na Mawaziri wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, linaloendelea Mjini Dodoma leo, Novemba 9, 2016.

Juu na Chini: Baadhi ya Wabunge na Mawaziri wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma leo, Novemba 9, 2016. 

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tulia Ackson akiongoza kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.  
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.  
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani  akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016. 
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nashi  akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Medard Kalemani  akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla  akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.  
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba  akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.  
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Mpango akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Iringa, Mhe. Dkt Christine Ishengoma akiuliza swali  katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.   
Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mhe. Victor Mwambalaswa akiuliza swali katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.  
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akijadilana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (kulia) akijadilana jambo na Wazirin wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.(Picha zote na Idara ya Habari, Maelezo, Dodoma)

No comments:

Post a Comment