Baadhi ya Mawaziri na Wabunge wakiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma leo, Novemba 7, 2016.
Waziri Angella Kiruki akiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma leo, Novemba 7, 2016.
Mmoja wa Wabunge akiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma leo, Novemba 7, 2016.
Mmoja wa Wabunge akiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma leo, Novemba 7, 2016.
Baadhi ya Wabunge wakiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma leo, Novemba 7, 2016.
Baadhi ya Mawaziri na Wabunge wakiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma leo, Novemba 7, 2016.
Naibu Waziri Suleiman Jafo, akiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma leo, Novemba 7, 2016.
Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Mussa Azan Zungu akitoa taarifa kwa wabunge kuhusu kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge Mhe. Samwel Sitta.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt Susan Kolimba akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson Lwenge akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamadi Massauni akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim majaliwa akijadiliana jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia wambura akifuatilia mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju (kulia), Waziri wa Elimu Sayansi na teknolojia Mhe. Prof Joyce Ndalichako (katikati) na Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo wakati wa mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.(Picha zote na Idara ya Habari, Maelezo)

No comments:
Post a Comment