Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akiwa na majaji katika hafla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa shindano kuhusu masoko ya mitaji kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu.
|
Washindi nafasi ya tatu wakikabidhiwa zawadi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. laki tano. |
|

No comments:
Post a Comment