Mkuu wa Wilaya ya
Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa kwanza kulia mwenye hijabu
akikagua madawati hayo kabla ya kuyapokea anayefuata ni Kaimu Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Kahoza Joseph ambaye ni Mhandisi wa
Ujenzi wa Halmashauri hiyo.
Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo wa kwanza kulia mwenye hijabu
akitazama baadhi ya madawati hayo kabla ya kuyapokea anayefuata ni Kaimu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza, Kahoza Joseph ambaye ni
Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri hiyo.
Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Muheza ambaye ni Afisa Tarafa ya Muheza Khatibu Omari wakati wa halfa hiyo wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo.
Baadhi ya wafanyakazi wa shamba la miti la Lunguza ambalo ni la serikali linalojishughulisha na uhifadhi wa misitu ya asili na ustawishaji wa miti ya misaji (Teak).
Baadhi ya madawati yaliyokabidhiwa leo kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na upungufu wa madawati kwenye shule za msingi wilayani humo. (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

No comments:
Post a Comment