TANGAZO


Saturday, October 15, 2016

RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI SHEIN AWAONGOZA WATANZANIA KATIKA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU NA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BABA WA TAIFA, HAYATI MWALIMU NYERERE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Bw. George Mbijima kabla ya kukabidhiwa mwenge huo jana, wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri ya mji - Bariadi Mkoani Simiyu. 
Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru kutoka kwbaada ya kukabidhiwa na mmoja wa wakimbiza Mbio za Mwenge wa Uhuru jana, wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri ya mji - Bariadi Mkoani Simiyu. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaki wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri ya mji - Bariadi Mkoani Simiyu. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Bw. George Mbijima jana, wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri ya mji - Bariadi Mkoani Simiyu. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimpongeza Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Bw. George Mbijima baada ya kumkabidhi Kitabu cha Majumuisho ya Risala za Utii kutoka kwa Wananchi jana, wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri ya mji - Bariadi Mkoani Simiyu. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akiwahutubia wananchi wa Simiyu jana, wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri ya mji - Bariadi Mkoani Simiyu. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akiwahutubia wananchi wa Simiyu jana, wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri ya mji - Bariadi Mkoani Simiyu. 
Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Vijana, Wazee, Wanawake na Watoto Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Moudline Castico akizungumza na wananchi wa Simiyu jana, wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri ya mji - Bariadi Mkoani Simiyu. 
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa jana, katika Uwanja wa Halmashauri ya mji - Bariadi Mkoani Simiyu. 
Watoto wa halaiki wakiwa na picha ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere huku wengine wakiwa wametengeneza umbo la mlima Kilimanjaro na kuweka mwenge wa uhuru wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa jana, katika Uwanja wa Halmashauri ya mji - Bariadi Mkoani Simiyu. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru katika picha ya pamoja na wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2016 wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa jana katika Uwanja wa Halmashauri ya mji - Bariadi Mkoani Simiyu. Watatu kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama. (Picha zote na Genofeva Matemu – WHUSM, Simiyu)

No comments:

Post a Comment