Baraka Da Prince akitumbuiza mbele ya umati wa wakazi wa Mbeya waliojitokeza katika tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumapili.
|
![]() |
Benpol katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia ijumaa.
|
![]() |
Joh Makini akitumbuiza katika tamasha la Tamasha la tigo fiesta.
|
![]() |
Jux akitumbuiza jukwaani.
|
![]() |
Wasanii Man
Fongo na Shilole wakitoa burudani ya singeli kwenye tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini
Mbeya usiku wa jumapili.
|
![]() |
Mr blue akitumbuiza umati wawakazi wa Mbeya waliojitokeza katika viwanja vya Forest Mbeya.
|
![]() |
Msanii Msami akiwa amemnyanyua mcheza shoo wake
stejini kuonyesha uwezo wake wa kumiliki jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta
lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya usiku wa jumapili.
|
![]() |
Wasanii Roma Mkatoliki na Stamina
wakionesha umahiri wao wa kufokafokakwakupokezana kwenye tamasha la Tigo fiesta
lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya usikuwa jumapili.
|
![]() |
Mashabiki wakimshangilia Roma Mkatolili.
|
![]() |
Maelfu ya wakazi wa Mbeya wakifurahia burudani toka kwa wasanii waliotumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta.
|
![]() |
Weusi wakilishambulia jukwaa la Fiesta.
|













No comments:
Post a Comment