TANGAZO


Saturday, October 15, 2016

LIGI KUU YA VODACOM, SIMBA YAIPIGA KAGERA SUGAR MABAO 2-0 UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

Mashabiki wa timu ya Simba wakibadilishana mawazo baada ya mchezo kati ya timu yao hiyo dhidi ya Kagera Sugar, kuongoza kwa bao moja wakati wa mapumziko baada ya dakika 45 za kipindi cha kwanza kumalizika katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo jioni.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)   
Mashabiki wa timu ya Simba wakiwa jukwaa kuu la Uwanja wa Uhuru baada ya kuanza kipindi cha pili cha mchezo kati ya timu yao hiyo na Kagera Sugar ya Kagera.
Mashabiki wa timu ya Simba wakiwa jukwaa kuu la Uwanja wa Uhuru baada ya kuanza kipindi cha pili cha mchezo kati ya timu yao hiyo na Kagera Sugar ya Kagera. 
Ibrahim Ajib wa Simba akimtoka Juma Ramdhan wa Kagera Sugar wakati wa mchezo huo.
Ibrahim Ajib wa Simba akijiandaa kuupiga mpira huku akifuatwa na Juma Ramdhan wa Kagera Sugar. 
Ibrahim Ajib wa Simba akipiga krosi langoni mwa timu ya Kagera Sugar, huku akifuatwa na Juma Ramdhan wa timu hiyo.  
Golikipa wa Kagera Sugar, Mohamed Sharif, akiudaka mpira huku akifuatwa kwa karibu na Shiza Kichuya wa Simba. 
Golikipa wa Kagera Sugar, Mohamed Sharif, akiudaka mpira huku akifuatwa kwa karibu na Shiza Kichuya wa Simba.  
Golikipa wa Kagera Sugar, Mohamed Sharif, akipotea baada ya kupigiwa mpira wa penalti na Shiza Kichuya wa Simba na hivyo Simba kufanikiwa kufunga bao la pili baada ya lile la kwanza kuwekwa kimiani na Mzamiru Yassin.
Shiza Kichuya wa Simba akikimbia kushangilia bao lake hilo.  
Shiza Kichuya wa Simba akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Mwaita Gereza wa Kagera Sugar. Hadi mwisho wa mchezo huo, Simba ilitoka uwanjani na ushindi wa mabao 2-1.

No comments:

Post a Comment