Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya (wa pili kushoto) akizungumza na wageni na Viongozi Mbalimbali walio jumuika katika hafla ya Mahafali ya Tatu ya kidato cha nne 2016, Sekondari ya Kizumba iliyopo Kata ya Mwandege Mkoa wa Pwani, Kulia ni Cyprian Kizumba Mkuu wa Shule hiyo na watatu ni Diwani wa Kata hiyo, Adolph Kowelo. (Picha zotr na Khamisi Mussa)
Mkuu wa Shule hiyo, Mussa Manyange (kulia) akizungumza na Viongozi mbalimbali akiwemo Mgeni Rasmi, Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya (kushoto) kabla yakwenda kuzunguukia miradi iliyopo shuleni hapo.
Mkuu wa Shule, Mussa Manyange (kushoto) akimuonyesha mradi wa ng'ombe, Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya, mara alipo tembelea miradi ya shule hiyo akimwakilisha, Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filberto Sanga, ambapo Mkuu wa shule alimweleza kutokana na mradi hupata maziwa Lita 20 hadi 25 kwa siku.
Wakiangalia Bwawa la Samaki.
Migomba ya ndizi ya shule.
Bata wa kisasa wanaofugwa shuleni hapo.
Mkuu wa Shule, Mussa Manyange (kulia) akizungumza jambo.
Mkuu wa Shule, Mussa Manyange (kushoto) akizungumza mara walipotembelea banda la mbuzi.
Sehemu ya mbogamboga.
Shamba la mahindi na mbogamboga.
Mkuu wa Shule hiyo, Cyprian Kizumba (wa pili kushoto) akimuonyesha mgeni rasmi sehem wanayolima mahindi muda wote kwa kutumia maji ya kumwagilizia kitaalamu.
Nyanya.
Michungwa.
Moja wa wanafunzi wanaohitimu Napenda John (wa kwanza kushoto) akimwelezea mgeni rasmi jinsi ya kutumia pesa.
Godlisten Mndasha (kulia) akielezea papai linavyofanyakazi katika mwili wa Binadamu.
Wageni waalikwa.
Wahitimu katika muonekano.
Wahitimu wakiingia kwa ngonjera.
Bendi ya Shule hiyo ikitumbuiza wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya kumaliza Kidato cha nne katika mahafali ya tatu.
Diwani wa Kata hiyo, Adolph Kowelo (wa pili kulia) akisalimia.
Mkuu wa Shule hiyo, Cyprian Kizumba (kulia) na mkewe Mery Kizumba (kushoto) wakisalimia wageni waalikwa.
Wanafunzi wakiwa katika igizo.
Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya (wa pili kushoto) akimkabidhi mwanafunzi, Suzan Kasikana (kulia) cheti cha kuhitimu elimu ya kidato cha nne 2016 wakati wa mahafali ya tatu ya Shule ya Sekondari ya Kizumba iliyopo Kata ya Mwandege Mkoa wa Pwani . Kushoto ni Mkurungezi wa Shule hiyo, Cyprian Kizumba. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Mussa Manyange na Diwani wa Kata hiyo, Adolph Kowelo.
No comments:
Post a Comment