Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akipokea kiasi cha Shilingi Milioni mia moja (100) kutoka kwa muwakilishi wa kampuni ya Caspian, kwa ajili ya Kusaidia wahanga wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera, leo Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akipokea kiasi cha
Shilingi Milioni ishirini (20) kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Bordar Bw. Wu Yahui, kwa ajili ya Kusaidia wahanga wa tetemeko la ardhi mkoani
Kagera, leo Bungeni Mjini Dodoma.(Picha zote na Hassan Silayo-Maelezo)




No comments:
Post a Comment