TANGAZO


Monday, September 19, 2016

WAZIRI MHAGAMA APOKEA MSAADA WA MAGODORO, MABATI NA MABLANKETI KUTOKA SERIKALI YA KENYA


Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu (wa pili kushoto), akipokea msaada wa Mabati, kutoka kwa Balozi wa Kenya Bw. Chirau Ali Mwakwere kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Kushoto ni Waziri wa Nchi Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama. Serikali ya Kenya imekabidhi mabati 4000,blanketi 400 na magodoro 100. 
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu (katikati), akipokea msaada wa mablanketi kutoka kwa Balozi wa Kenya Bw. Chirau Ali Mwakwere. Kushoto kwake  ni  Waziri wa NchiOfisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na Walemavu,Mhe. Jenista Mhagama. 
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu (wa pili kushoto), akipokea msaada wa magodoro  kutoka kwa Balozi wa Kenya Bw. Chirau Ali Mwakwere. Kushoto kwake ni Waziri wa NchiOfisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na Walemavu,Mhe. Jenista Mhagama.

No comments:

Post a Comment