Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizundua gati jipya la Bandari ya
Pangani ambalo liligharimu zaidi ya bilioni 3 kulia ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa mwisho kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) Karim Mattaka, kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella.
Viongozi waliokaa meza mkuu wakifuatilia
matukio yaliyokuwa yakiendelea wakati wa uzinduzi wa Gati Jipya
wilayani Pangani.
|
Viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani na mkoaani Tanga wakifuatilia uzinduzi wa Gati jipya.
Baadhi
ya watumishi wa Mamlaka ya Bandari Mkoani Tanga wakifuatiliaa uzinduzi
huo kutoka kulia ni PRO wa Mamlaka hiyo,Moni Jarufu kushoto ni
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, Daudi Mayeji.
|
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya
ya Pangani wakifuatilia uzinduzi wa Gati hiyo.
|
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Proffessa Makame Mbarawa akisalimiana na wananchi wilayani Pangani mara baada ya kuzindua gati jipya.
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiwa na viongozi mbalimbali akisoma maelekezo yaliyoandikiwa kwenye jiwe la msingi mara baada ya kufanya kuzindua gati jipya la Bandari wilayani Pangani kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Karim Mattaka kulia ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga, Henry Arika, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella na PRO wa Mamlaka ya Bandari ya Tanga, Moni Jarufu.

No comments:
Post a Comment