Baadhi ya watoto wa Shule ya awali ya Yohane Merlin wakiwa wamefika katika ziara yao ya kujifunza na kufanya kwa vitendo kuogelea na mambo mengine ikiwa ni pamoja na Kucheza Michezo mbalimbali.
Watoto wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakiwa wanacheza na kufurahi katika maji.
Baadhi ya watoto wakiwa wamepumzika kwa muda baada ya kucheza katika maji.
Mwenyekiti wa Shule ya awali ya Yohane Merlin iliyopo Mbezi Beach David Manoti (kulia), akiwa na baadhi ya wazazi na Mmoja wa walimu wakati wa ziara hiyo ya mafunzo.
Watoto wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakiogelea kila mmoja kwa aina yake walipokuwa katika ziara ya kujifunza na kufanya michezo mbalimbali.
Mwenyekiti Shule ya Awali ya Yohane Merlin David Manoti akicheza na watoto.
Watoto wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakipata maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa shule hiyo David Manoti.
Watoto wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakiendelea na michezo mbalimbali.
Watoto wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakipata chakula baada ya kumaliza Ziara yao ya Masomo.
Kutoka kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya awali ya Yohane Merlin Sr. Jenesia Thomas Baraka, Mwenyekiti wa Kamati ya Shule David Manoti, Makamu Mwenyekiti Michael Biseko na Mjumbe wa kamati Bi. Mwile Kauzeni.
Baadhi ya Walimu, Wazazi pamoja na wanakamati wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya wazazi na walimu wakiwa katika Michezo ya watu wazima wakiungana na wanafunzi hao wa shule ya awali ya Yohane Merlin.
Hili ni Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni ambapo watoto wa shule ya awali ya Yohane Merline(hawapo pichani) walipata kuliona wakati wa ziara yao ya kujifunza na michezo.(Picha zote na Fredy Njeje)


















No comments:
Post a Comment