Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tamisemi Mhe.George Simba Chawene akizungumza jambo na
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya ya
kutembelea shule ya sekondari ya Ihungo ambayo imeathiriwa vibaya na Tetemeko
la Ardhi.
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na wahandishi wa
habari kuhusu hatua ambayo serikali imechukua kusaidia ukarabati wa shule ya
Ihungo ambayo
imeathiriwa vibaya na Tetemeko la Ardhi.KUlia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais,Tamisemi Mhe.George Simba Chawene
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tamisemi Mhe.George Simba Chawene akizungumza na
vyombo vya habari mara baada ya kutembelea shule ya sekondari ya Ihungo ambayo
imeathiriwa vibaya na Tetemeko la Ardhi.Kushoto kwake ni Waziri wa Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama.
Wafanyakazi wa VETA wakiendelea na ubomoaji wa
Shule ya Ihungo ambayo inavunjwa na
kujengwa upya kwa msaada wadau na Serikali baada ya kuathiriwa na tetemeko la
ardhi la hivi karibuni Mkoani Kagera.





No comments:
Post a Comment