Kushoto ni Kaimu Meneja wa
Bandari ya Tanga, Henry Arika akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella wa kwanza kulia aliyekaa kwenye boti wakati
alipofanya ziara ya kuitembelea bandari hiyo.
Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga, Henry Arika wa pili kutoka kulia akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella wa pili kutoka kulia wakati alipofanya ziara ya kuitembelea Bandari hiyo kuona namna inayofanya kazi kwa ufanisi.
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella akipanda ngazi kuelekea kwenye meli
ya mizigo iliyotia nanga bandari ya Tanga wakati wa ziara yake ya
kuitembelea Bandari hiyo.
|
Kaimu Meneja wa Bandari wa Tanga Henry Arika akipanda ngazi kuelekea kwenye meli ya mizigo iliyotia nanga kwenye bandari ya Tanga wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella kuitembelea Bandari hiyo, kuona shughuli zake anayefuatia ni PRO wa Bandari ya Tanga, Moni Jarufu.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella katikati akiteta jambo na PRO wa Mamlaka ya Bandari ya Tanga, Moni Jarufu wakati wa ziara yake.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella (wa kwanza kushoto), akionyeshwa kitu na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (Ras) Mhandisi Zena Saidi wakati wa ziara yake ya kuitembelea Bandari hiyo jana.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella kushoto katikati ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Mhandisi Zena Saidi wakiteta jambo wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa kuitembelea Bandari hiyo kuona namna inayofanya kazi zake kulia ni PRO wa Bandari ya Tanga, Moni Jarufu.
Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akiwa ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika kushoto wa kwaza kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Mhandisi Zena Saidi na wa kwanza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa wakifurahia jambo wakati wakiwa kwenye ziara ya kuitembelea Bandari ya Tanga. (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha Blog)

No comments:
Post a Comment