TANGAZO


Friday, August 19, 2016

WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROFESA JOYCE NDALICHAKO AZITAKA MENEJIMENTI ZA VYUO VYA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA) KUPITIA UPYA MITAALA NA VIFAA

Mwalimu wa Ufundi Ricky akionyesha baadhi ya mashine zinazotumika kufundishia wanafuinzi wanaojiunga na chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA     Kipawa.
Picha ya pamoja kayi ya Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiwa na watendaji wa Chuo cha VETA Kipawa pamoja na baadhi ya wanafunzi chuoni hapo.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mikakati ya Serikali kuelekea Uchumi wa Viwanda ambapo chuo cha VETA Kipawa inajikita zaidi kutoa mafunzo yanayohusu masuala ya viwanda.
Mmoja wa wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Mlimani waliokwenda chuoni hapo kupata mafunzo kwa vitendo juu ya masuala ya TEHAMA, akimweleza jambo Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.  Joyce Ndalichako (wa pili kulia). (Picha zote na Beatrice Lyimo-Maelezo)

No comments:

Post a Comment