Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akielekeza jambo kwa baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais Utumishi wakati wa kikao kazi kuhusu utoaji huduma na matumizi ya TEHAMA kilichofanyika katika ukumbi wa utumishi leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah
Kairuki (Mb) na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakijadili kuhusu
matumizi ya TEHAMA katika utoaji huduma Serikalini wakati wa kikao kazi
kilichofanyika katika ukumbi wa utumishi leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akimsikiliza Mkurugenzi wa TEHAMA katika Utumishi wa Umma, Bw. Priscus Kiwango wakati wa kikao kazi kuhusu utoaji huduma na matumizi ya TEHAMA katika Utumishi wa Umma kilichofanyika katika ukumbi wa utumishi leo.

No comments:
Post a Comment