Mkurugenzi wa matamasha kutoka kampuni ya usambazaji filamu nchini Steps Entertainment katikati Bw. Jonas Sabuni akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kipindi cha INABAMBA “Ni bongo movie bandika bandua” ambao uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Afisa habari wa kampuni hiyo Bw. Moses Mwanyilu na kulia ni mwigizaji wa bongo movie Jimmy Mafufu.
Afisa habari wa Kampuni ya Step Entertainment Bw. Moses Mwanyilu wa kwanza kushoto akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kipindi cha INABAMBA “Ni bongo movie bandika bandua” kitachokuwa kinaonyeshwa katika kituo cha matangazo Sibuka Televisheni uliofanyika leo jijini Dar es salaam,katikati ni , Msemaji kutoka kituo cha Sibuka Televisheni Bw. George Nangale na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Masoko kutoka Startimes Bw. Awino Felia.
Meneja Masoko kutoka Startimes Bw.
Awino Felia wa kwanza kushoto akiongea
na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kipindi cha
INABAMBA “Ni bongo movie bandika bandua” kitachokuwa kinaonyeshwa katika kituo
cha matangazo Sibuka Televisheni kupitia king’amuzi cha Startimes uliofanyika leo jijini Dar es Salim.

No comments:
Post a Comment