Mtoto GERALD DAVID BWANAMGANGA anayetafutwa na wazazi wake.
Tunaomba Watu, Mtu yeyote atakayeweza kumuona, basi anaweza kumfikisha Kituo Cha Polisi kilicho karibu nae. Au unaweza kuwasiliana na wazazi wa mtoto kwa namba 0713 040 615 ama 0712 185 226. Pia unaweza kupiga simu namba 0675 306 990.
Mtoto GERALD DAVID BWANAMGANGA anayetafutwa na wazazi wake.
Lakini
Endapo mtu atamuona basi anaweza kutoa taarifa Polisi au hata Pia Kutoa
taarifa kupitia makundi mbalimbali ya Whatsapp ambayo tunaamini pia
taarifa itawafikia haraka wazazi au hata ndugu kama ambavyo taarifa ya
kupotea kwake ilivyoweza kutufikia sisi na kuamua kutoa msaada wa
kutangaza kupitia hapa.
Tunajua
ni jinsi gani Maumivu wanayoyapata wazazi wake lakini Tunamuombea kwa
Mungu amlinde huko aliko na Malaika wake wamrudishe mtoto wetu GERALD DAVID BWANAMGANGA Salama Salimini kwenye himaya ya wazazi wake.
Tunatoa
pole kwa Wazazi kwa kupotelewa na Mtoto wao Kipenzi lakini tunapenda
kuwaambia kuwa Wamwamini Mungu kwa maana Kila hatua wazikabidhizo kwake
na kuamini basi Mungu atawatendea.
TUNAOMBA MSAADA KUSAMBAZA TAARIFA HIZI.



No comments:
Post a Comment