TANGAZO


Tuesday, July 26, 2016

MOJA KWA MOJA KUTOKA MKUTANO WA VIJANA WA UZINDUZI WA UTAFITI WA NEXT GENERATION UJUKALIKANAO KAMA SAUTI ZA VIJANA UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

Kundi la Taasisi ya Montage wakiwa na Mkurugenzi wao, Teddy Mapunda (wa tatu kushoto), waratibu wa mkutano wa Vijana katika uzinduzi wa Utafiti wa Next Generation ujulikanao kama Sauti za Vijana, ulioandaliwa na Ubalozi wa Uingereza nchini.
Hapa Vijana wakiwa kwenye banda la British Council, wakiangalia vipeperushi mbalimbali kwenye mabanda yaliyoshiriki katika uzinduzi wa utafiti huo wa vijana. 
Hapa ni banda la Uniliver, vijana wakiangalia bidhaa mbalimbali. 
 Wasanii wa kundi la burudani la Wanne Stars wakitumbuiza katika uzinduzu huo.
Baadhi ya vijana wakiwa katika uzinduzi huo. 
Vijana wakiwa kwenye banda la PSI watengenezaji wa Kondom mbalimbali. 
Vijana wakiwa kwenye uzinduzi huo, unaohusu changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana.
Vijana wakiwa kwenye Banda la Bridge for Change. 
Vijana wakiwa kwenye mkutano huo.
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Melrose, akicheza ngoma ya Wanne Star.
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Melrose, akicheza ngoma ya Wanne Star. 

Vijana wakieleza baadhi ya changamoto zao zinazowakabili kwenye uzinduzi huo. 
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama, akipatiwa maelezo wakati akitembelea banda la Shujaaz.   
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama, akipatiwa maelezo wakati akitembelea banda la PSI.  
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama, akikaribishwa kwenye meza kuu la Balozi wa Uingereza nchini Diana Melrose.   
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama, akifurahia jambo na Balozi wa Uingereza nchini Diana Melrose. 
Mkuu wa British Council nchini Kenya, Bw. Tony akitoa maelezo mafupi kuhusu changamoto zinazowakabili vijana nchini barani Afrika na kusema kuwa zinafanana na za Tanzania pia.
Mkurugenzi wa DFID Tanzania, Vel Gnanendran akizungumza kuhusu utafiti huo wa changamoto za vijana nchini. 
Mmoja wa vijana akionesha kipaji chake cha kuchora picha kwenye mkutano huo wa uzinduzi wa utafiti huo.
Sasa Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama, akinazungumza na vijana katika uzinduzi huo. 
Vijana wakimsikiliza Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama akizungumza.
Waandishi wa habari, wakichukua habari, wakati Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama akiendelea kuzungumza sasa hivi.
Mkurugenzi wa British Council Tanzania, Nesia Mahenga (katikati), akimkabidhi Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama, utafiti huo kwa ajili ya uzinduzi rasmi. Kulia ni Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diana Melrose.
Mkurugenzi wa British Council Tanzania, Nesia Mahenga (katikati), Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diana Melrose, (wa pili kulia) na baadhi ya maofisa wa Ubalozi, wakimkabidhi Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama, utafiti huo kwa ajili ya uzinduzi rasmi.
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama, akigawa vitabu vya utafiti huo kwa wageni mbalimbali tayara kwa ajili ya uzinduzi rasmi.   
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama (wa pili kushoto), Balozi wa Uingereza nchini, Diana Melrose (wa pili kulia), wakivionesha vitabu vya utafiti huo ikiwa ni katika uzinduzi rasmi.
Na mwisho wa mkutano huo wa uzinduzi Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama (kushoto), akipatiwa maelezo ya michoro na mchoraji Ahmad Masoud wakati wa uzinduzi wa utafiti huo.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com

No comments:

Post a Comment