TANGAZO


Thursday, June 9, 2016

WASANII PAYUS NA MECRASS KUTOKA JIJINI MWANZA WAPOKELEWA VYEMA

Hakika inapendeza pale unapoona kila siku wasanii wapya wanaibuka na kuonyesha uwezo mkubwa katika sanaa.

Kutoka Jijini Mwanza, vichwa viwili, Payusi na Mecrass ambao wanaunda kundi la "Payus & Mecrass" wameachiwa wimbo wao uitwayo Chausiku ambao kiukweli umepokelewa vyema na hakika unakonga nyoyo na masikio ya wapenzi wa muziki.
Bonyeza Hapa Kusikiliza Au Play Hapo chini.

No comments:

Post a Comment