Mmoja
wa wawezeshaji wa Elimu ya Ujasiriamali akiwafundisha mbinu za Ujasiriamali
wakazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji hivi karibuni.
Mmoja
wa wawezeshaji wa Elimu ya Ujasiriamali akiwafundisha mbinu za Ujasiriamali
wakazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji hivi karibuni.
Baadhi
ya wakazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wakifuatilia mafunzo ya Ujasiriamali
mkoani humo hivi karibuni.
Baadhi
ya wakazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wakifuatilia mafunzo ya Ujasiriamali
mkoani humo hivi karibuni.
Mwezeshaji
wa Elimu ya Ujasiriamali akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya mbinu za
Ujasiriamali kwa wakazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji hivi karibuni.
Wajasiriamali
wakazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kumaliza mafunzo yao kuhusu mbinu za Ujasiriamali hivi karibuni. (Picha zote na
Mpiga Picha Wetu)

No comments:
Post a Comment