TANGAZO


Wednesday, June 1, 2016

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AZINDUA MATUKIO YA SIKU YA MSANII 2016 JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (wapili kushoto) akiwasili katika hafla ya uzinduzi wa matukio ya siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam. 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na wasanii wakati wa uzinduzi wa matukio ya siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam. 
Mwanamziki mkongwe wa miondoko ya rhumba Stara Thomas akizungumza na wasanii wenzake (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa matukio ya siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam. 
Viongozi na wasanii mbalilmbali, wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa matukio ya siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya viongozi na wasanii mbalilmbali, wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa matukio ya siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam.  
Baadhi ya viongozi na wasanii mbalilmbali, wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa matukio ya siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam.   
Baadhi ya viongozi na wasanii mbalilmbali, wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa matukio ya siku ya msanii katika ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na WHUSM)

No comments:

Post a Comment