TANGAZO

Tuesday, June 7, 2016

DIWANI WA KATA YA KILUNGULE SAID FELLA ATOA ZAWADI ZA MFUNGO WA RAMADHAN

Diwani wa Kata ya Kilungule, Mbagala, Mhe. Said Fella (aliyesimama) akitoa zawadi mbalimbali kwa wazee wa kata yake mapema jana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya mfungo wa Ramadhan ulioanza leo. 
Diwani wa Kata ya Kilungule, Mbagala, Mhe. Said Fella (kulia) akitoa zawadi mbalimbali kwa wazee wa kata yake mapema jana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya mfungo wa Ramadhan ulioanza leo. 
Diwani wa Kata ya Kilungule, Mbagala, Mhe. Said Fella (kushoto) akitoa zawadi mbalimbali kwa wazee wa kata yake mapema jana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya mfungo wa Ramadhan ulioanza leo. 

Diwani wa Kata ya Kilungule, Mbagala, Mhe. Said Fella (kulia) akitoa zawadi mbalimbali kwa wazee wa kata yake mapema jana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya mfungo wa Ramadhan ulioanza leo. (Picha zote na Eliphace Marwa)

No comments:

Post a Comment