Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Profesa Jumanne Maghembe akiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili
ya vikao vya asubuhi katika Bunge hilo leo 19 Mei, 2016.
|
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili
ya vikao vya asubuhi katika Bunge hilo leo 19 Mei, 2016.
|
|
Naibu Waziri,
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula akiwasili
viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya vikao vya asubuhi katika Bunge hilo
leo 19 Mei, 2016.
|
| Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo leo Bungeni mjini Dodoma 19 Mei, 2016. |
|
Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo
kwa papo leo Bungeni mjini Dodoma 19 Mei, 2016.
|
Baadhi ya Wabunge wa Majimbo mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhiria vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo mjini Dodoma leo 19 Mei, 2016.
|

No comments:
Post a Comment