Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) wakati akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (mstari wa mbele katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro (kushoto) akifunga mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

No comments:
Post a Comment