TANGAZO


Monday, April 25, 2016

PSPF YAVUNA WANACHAMA WILAYA YA TEMEKE


Mtangazaji wa kipindi cha wanawake live, Bi. Joyce Kiria (kulia) akionyesha kitambilisho  chake cha uchangiaji wa hiari kutoka kwa Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa hiari wa  mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe kushoto wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa hiari wa  mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (kushoto), akimkabidhi  Mtangazaji wa kipindi cha wanawake live, Bi. Joyce Kiria (kulia), kitambulisho cha uchangiaji wa hiari katika mafunzo ya wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa  mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe akitoa mada katika mafunzo kwa wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaamm jana. 
Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa  mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe akitoa mada katika mafunzo kwa wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaamm jana. 
Baadhi ya wanachama wapya wa uchangiaji wa hiari wa mfuko wa PSPF, wakiuliza maswali mbalimbali katika mafunzo ya wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. 
Mtangazaji wa kipindi cha wanawake live, Bi. Joyce Kiria, akizungumza katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment