Mwenyekiti wa Chama cha Wawekezaji Binafsi
katika Sekta ya Elimu Tanzania (TAPIE) ambaye pia ni Mmilikiwa Shule ya Tusiime
Bw. Albert Katagira akizungumza wakati wa uzinduzi na mkutano wa kwanza wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Katibu wa Chama hicho Bw.Kachwamba Ansar na wapili kulia ni Makamu
Mwenyekiti Bw.Johson Ishengoma. (Picha zote na Frank Shija-WHUSM)
Mwanachama wa Chama cha Wawekezaji Binafsi
katika Sekta ya Elimu (TAPIE) ambaye pia ni mmiliki wa Shule ya Awali na Msingi
ya Fortune iliyopo Tabata Kinyerezi Bw.Hope Kaiza akichangia hoja wakati wa
uzinduzi na mkutano wa kwanza wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam.
Mwanachama wa Chama cha Wawekezaji Binafsi
katika Sekta ya Elimu (TAPIE) Bw. Mahamoud Mringo (aliyesimama) akifafanua
jambo wakati wa uzinduzi na mkutano wa kwanza wa chama hicho jana jijini Dar es
Salaam.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Albert Katagira na
Makamu Mwenyekiti wake Bw. Johnson Ishengoma.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wawekezaji
Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) wakifuatilia mada wakati wa uzinduzi wa
chama hicho jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wawekezaji
Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) wakifuatilia mada wakati wa uzinduzi wa
chama hicho jana jijini Dar es Salaam.






No comments:
Post a Comment