Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Fionnuala Gilsenan (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza na Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Fionnuala Gilsenan alipotembelea ofisini kwake mapema leo.




No comments:
Post a Comment