Katibu Mkuu
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel
akifungua mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa na
Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) na kushirikisha vijana kutoka Tanzania Bara
na Visiwani leo jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Genofeva Matemu – Maelezo)
Mkurugenzi
Mkazi Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) nchi ya Tanzania, Kenya, Uganda,
Burundi na Rwanda Bibi. Mary Kawar akizungumza na vijana (hawapo pichani) wakati
wa mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa na shirikila
hilo leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akitoa mada wakati wa mdahalo wa
hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa la
Ajira (ILO) na kushirikisha vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani leo jijini
Dar es Salaam.
Mtaalam wa ajira kutoka ILO Bw. Jealous Chirore
akichangia mada wakati wa mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania
ulioandaliwa na Shirika hilo na kushirikisha vijana kutoka Tanzania Bara na
Visiwani leo jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka YUNA – Chuo cha Bogamoyo akiuliza
swali wakati wa mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa
na Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) na kushirikisha vijana kutoka Tanzania
Bara na Visiwani leo jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkazi
Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) nchi ya Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na
Rwanda Bibi. Mary Kawar baada ya kufungua mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana
wa Tanzania ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) na kushirikisha
vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dar es Salaam.







No comments:
Post a Comment