TANGAZO


Thursday, March 24, 2016

SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA SABA WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN UWANJA WA AMAAN MJINI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi baada ya zoezi la kuapishwa pamoja na kukagua 
gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lenye muundo wa ALfa unaoashiria mwanzo 
wa Uongozi wake kwa kipindi cha pili katika Uwanja wa Amaan Studium baada ya 
kuapishwa rasmi  leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana mkono na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame wakati
aliposalimiana  na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya kumalizika 
zoezi la kuapishwa  katika Uwanja wa Amaan Studium leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana mkono na Mkuu wa KMKM Hassan MUssa Komodoo wakati aliposalimiana  na Wakuu 
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya kumalizika zoezi la kuapishwa 
katika Uwanja wa Amaan Studium leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana 
mkono na Kaimu Mkuu wa JKU Kanali Ali Mtumweni Hamadi wakati 
aliposalimiana  na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya 
kumalizika zoezi la kuapishwa  katika Uwanja wa Amaan Studium leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Makamanda wakati alipokuwa akikagua gwaride la Vikosi vya Brass 
Band leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,baada ya kuapishwa rasmi 
kwa kuongoza Zanzibar katika kipindi cha Pili cha Awamu ya saba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lenye muundo wa ALfa katika Uwanja wa 
Amaan Studium baada ya kuapishwa leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akitia saini hati ya kiapo mbele ya Jaji Mkuu Mhe,Omar Othman Makungu baada ya
kumalizikika kwa zoezi hilo lililofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium 
Mjini Unguja(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi baada ya zoezi la kuapishwa kushika 
nafasi hiyo ya Urais kwa kipindi cha pili cha Uongozi katika Uwanja wa Amaan 
Studium Mjini Unguja leo.

No comments:

Post a Comment