TANGAZO

Tuesday, March 1, 2016

Naibu Waziri Dk. Kigwangalla atembelea Hospitali ya Rufaa ya Temeke

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo  ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akitembelea hospitali ya Rufaa ya Temeke  wakati alipofanya leo ziara ya ghafla katika hospitali hiyo ili kujionea huduma zinazotolewa. 
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo  ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia), akipata maelezo ya huduma za maabara hospitali ya Rufaa ya Temeke  kutoka kwa Meneja wa maabara hiyo   wakati alipofanya leo ziara ya ghafla katika ili kujionea huduma zinazotolewa hospitalini hapo. 
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo  ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia), akitoa  maelezo ya kuhusu huduma za maabara zinavyotakiwa kutolewa kwa mujibu wa viwango vya kimataifa mara baada ya leo kufanya ziara ya ghafla  ili kujionea huduma zinazotolewa hospitalini hapo.  

Moja ya kifaa cha kuhifadhia taka kilichopo katika maabara hiyo, ambapo vitakiwa kuwa na rangi tofauti yaani na njano, nyeusi na nyekundu. (Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)

No comments:

Post a Comment