TANGAZO


Friday, March 25, 2016

Matokeo ya mechi za kirafiki

   Timu ya Hispania
Usiku wa kuamkia leo kumechezwa michezo ya kirafiki ya kimataifa ikiwa ni michezo ya kujiandaa na michuano ya kombe la ulaya.Mabingwa wa kombe la dunia mwaka 2010 Hispania walitosha nguvu na itali kwa kufunga bao 1-1,Uturuki wakapata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Swedeni.
Matokeo mengine
Ugiriki 2-1 Montenegro 1
Denmark 2 -1Iceland 1
Ukraine 1-0 Cyprus 0
Jamuhuri ya Czech 0-1 Scotland
wales 1-1 Ireland ya kaskazini

No comments:

Post a Comment