TANGAZO


Monday, February 22, 2016

Wadau wa Filamu kushirikiana na Serikali kutunisha mfuko wa Maendeleo ya Filamu

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwa katika picha ya pamoja na mdau wa filamu Bi. Khadija Seif (Didas) wakati alipomtembelea ofisini kwake kujadili jinsi gani ya kutunisha mfuko wa maendeleo ya filamu. Bi Khadija anategemea kuchangisha milioni 200 katika mfuko huo. Mwingine pichani kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akimuaga mdau wa filamu Bi. Khadija Seif (Didas) wakati alipomtembelea ofisini kwake kujadili jinsi gani ya kutunisha mfuko wa maendeleo ya filamu. Bi Khadija anategemea kuchangisha milioni 200 katika mfuko huo. Mwingine pichani kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo.

No comments:

Post a Comment