TANGAZO

Tuesday, February 16, 2016

Maofisa Tanroad wakagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mwenge-Morocco jijini Dar es Salaam

Sehemu ya  Barabara ya Morocco kwenda Mwenge ikiwa katika  hatua  ya kutolewa tabaka ya udongo wa  chini na kuwekwa tabaka ya udongo mpya kama inavyo oenekana katika picha leo jijini Dar es Salaam .
Mafundi  kutoka kampuni ya Ujenzi  ya  ESTIM wakiwa kazini katika hatua ya kutoa udongo wa chini  kwa ajili ya kuweka udongo mpya  ,ambapo ujnzi huo unatarajiwa kumalika mapema Mei mwaka huu.
Mafundi  kutoka kampuni ya Ujenzi  ya  ESTIM wakiwa kazini katika hatua ya kutoa udongo wa chini  kwa ajili ya kuweka udongo mpya  ,ambapo ujnzi huo unatarajiwa kumalika mapema Mei mwaka huu.
Mafundi wakijengea bomba la maji eneo la Makumbusho  kwa kuliwekea zege na nondo   ili kulihakikishia  usalama wake wakati wa ujenzi wa barabara ya Mwenge-Morocco inayotarajiwa kukamilika mapema mwezi Mei mwaka huu.

Afisa Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Bi. Aisha Malima akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mchundo (Civil Technician) wa Kampuni ya Ujenzi  ya ESTIM, Bw. Kano Warema  kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mwenge-Morocco leo Dar es Salaam.
Kipande cha Barabara ya Mwenge-Morocco kilicho kamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Mwenge-Bamaga kinavyoonekana katika picha. (Picha zote na Lorietha Laurence –Maelezo).

No comments:

Post a Comment