TANGAZO


Tuesday, February 9, 2016

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman amshukuru Rais Mhe. Dk. John Magufuli kwa kutimiza ahadi yake



Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kwa kutimiza ahadi yake ya kuipatia Mahakama kiasi cha shilingi Bilioni 12.3. zitakazotumika  katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo uboreshaji wa miundombinu ya Mahakama na ujenzi wa Mahakama mpya katika maeneo mbalimbali nchini. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango (kushoto).
Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, akizungumza.

No comments:

Post a Comment