TANGAZO


Thursday, January 7, 2016

Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ afungua mradi wa maji Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja

Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Idara Maalum Muh. Haji Omar Kheri akisalimiana na wafanyakazi wa Mamla ya Maji Zanzibar (ZAWA) mara baada ya kufika Kijiji cha Makunduchi kufungua mradi wa Miji ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar) 
Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Idara Maalum Mh. Haji Omar Kheri akifungua pazia kuashiria ufunguzi rasmin wa Mradi wa Maji safi katika Kijiji cha Makunduchi Mkoa kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Idara Maalum Mh. Haji Omar Kheri akifungua koki ya bomba la maji kuashiria ufunguzi rasmin wa Mradi wa Maji safi katika Kijiji cha Makunduchi Mkoa kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Tenki jipya la kuhifadhia Maji lililopo Makunduchi. 
Baadhi ya wageni walikwa waliohudhuria katika ufunguzi wa Mradi wa Maji safi uliozinduliwa Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Ali halili Mirza akitoa taarifa ya kitalamu wakati wa ufunguzi wa Mradi wa Maji safi uliozinduliwa Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja. 
Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Idara Maalum Muh. Haji Omar Kheri akizungumza na wananchi wa Makunduchi katika ufunguzi wa mradi wa Maji safi, ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Amewataka wananchi wa kijiji hicho kushirikana na Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) ili kuendeleza miundo mbinu hiyo na pia amewata kuchangiakiasi cha pesa kwa wale watakao pata Maji. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment