Waandishi wa habari wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa ba Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, wakati alipozungumza nao, Dar es Salaam leo, akielezea kuhusu kuvunja rekodi na kuvuka lengo la ukusanyaji wa fedha za mapato kwa mwezi Desemba 2015, ambapo kiasi cha sh. trilioni 1.4 kilikusanywa nchini. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, alipokuwa akielezea kuhusu kuvunja rekodi na kuvuka lengo la ukusanyaji wa fedha za mapato kwa mwezi Desemba 2015, ambapo kiasi cha sh. trilioni 1.4 kilikusanywa nchini. Katikati ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Servacius Likwelile na kushoto ni Gavana wa Benki Kuu, Beno Ndulu.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, alipokuwa akielezea kuhusu kuvunja rekodi na kuvuka lengo la ukusanyaji wa fedha za mapato kwa mwezi Desemba 2015, ambapo kiasi cha sh. trilioni 1.4 kilikusanywa nchini.
Waandishi wa habari wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa ba Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, wakati alipozungumza nao, Dar es Salaam leo, akielezea kuhusu kuvunja rekodi na kuvuka lengo la ukusanyaji wa fedha za mapato kwa mwezi Desemba 2015, ambapo kiasi cha sh. trilioni 1.4 kilikusanywa nchini.
Gavana wa Benki Kuu, Beno Ndulu, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari, wakati Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alipomtaka kutoa ufafanuzi wa moja ya maswali aliyoulizwa na waandishi katika mkutano huo. Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Servacius Likwelile.
Mmoja wa waandishi wa habari, akiuliza swali kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, wakati wa mkutano huo, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, akielezea kuhusu kuvunja rekodi na kuvuka lengo la ukusanyaji wa fedha za mapato kwa mwezi Desemba 2015, ambapo kiasi cha sh. trilioni 1.4 kilikusanywa nchini. Katikati ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Servacius Likwelile na kushoto ni Gavana wa Benki Kuu, Profesa Beno Ndulu.
Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata akizungumza wakati wa mkutano huo, Dar es Salaam leo.
Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata akizungumza wakati wa mkutano huo, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Gavana wa Benki Kuu, Profesa Beno Ndulu.
Gavana wa Benki Kuu, Profesa Beno Ndulu akifafanua jambo, wakati wa mkutano wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kulia) na waandishi wa habari, kuelezea kuhusu kuvunja rekodi na kuvuka lengo la ukusanyaji wa fedha za mapato kwa mwezi Desemba 2015, ambapo kiasi cha sh. trilioni 1.4 kilikusanywa nchini.

No comments:
Post a Comment