Wachezaji wa timu ya soka ya Panone FC wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwa mchezo wa ligi ya shirikisho inayodhaminiwana Azam.
|
Wachezaji wa timu ya Polisi Dar wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwamchezo wa ligi ya shirikisho hidi ya Panone fc mchezo uliopigwa katika uwanja wa Chuo cha Ushirika.
|
Kocha wa timu ya soka ya Panone FC, Atuga Manyundo akizungumza na Azam TV iliyokuwa ikirusha mchezo huo moja kwa moja.
|
Wapiga picha wa Azam Tv wakiweka sawa mitambo yao kwa ajili ya kurusha live mchezo huo.
|
Vikosi vya timu za Polisi Dar na Panone FC vikiwa tayari kuingia uwanjani.
|
Vikosi vikiingia uwanjani.
|
Wachezaji wa Panone FC.
|
Wachezaji wa Polisi Dar.
|
Wachezaji wa timu hizo wakisalimiana.
|
Benchi la Polisi Dar.
|
Benchi la Panone FC.
|
Kikosi cha Panone FC.
|
Waamuzi wa mchezo huo.
|
Camera maalum aina ya Drone akipiga picha za juu katika uwanja wa Ushirika wakati wa mchezo wa ligi ya Shirikisho kati ya Panone FC na Polisi Dar.
|
Azam Tv walikuwa live kurusha mchezo huo.
|
Heka heka katika mchezo huo.
|
Panone FC wakishangilia baada ya kupata bao la kwanza.
|
Heka heka.
|
Heka heka langoni mwa timu ya Polisi Dar.
|
Wachezaji wa Polisi Dar wakishangilia mara baada ya kusawazisha bao.
|
Panone FC wakifanya mabadiliko, mchezaji Pompy akiingia.
|
Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mchezo huo. |
Figisu figisu ilipotokea uwanjani hapo kidogo wachezaji wa timu zote mbili wakioneshana msuli.
|
Mmoja wa wachezaji wa timu ya Panone FC akiwa chini akisikilizia maumivu baada ya kuchezewa vibaya na mchezaji wa Polisi Dar.
|
Mchezaji wa Panone FC akipewa msaada wa huduma ya kwanza mara baada ya kuchezewa vibaya.
|
Mlinzi wa timu ya Panone FC Pompy akijaribu kumiliki mpira.
|
Aliyekuwa Kocha wa timu ya soka ya JKT Ruvu, Felix Minziro akiwa katika uwanja wa Ushirika akifuatilia mchezo kati ya timu ya Panone fc na Polisi Dar.
|
Moja ya heka heka langoni mwa timu ya Panone FC. |
Pompy akijaribu kumzuia mshambuliaji wa timu ya Polisi Dar.
|
Mwamuzi wamchezo huo, Nathan akiashiria kumalizika kwa dakika 90 za mchezo huo.
|
Mwisho wa mchezo Panone FC 2 Polisi Dar 1.
|
Waamuzi wakitoka uwanjani.
|
Wazee wa kubeti nao hao hawako nyuma sasa hivi wanatembea na mashine zao hadi katika viwanja vya michezo.
|
Wapiga picha wa Azam Tv wakichukua matukio mbalimbali.(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini)
|
No comments:
Post a Comment