TANGAZO


Saturday, November 21, 2015

Mahafali ya 27 ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain jijini Dar es Salaam leo

Mgeni rasmi katika Mahafali ya 27 ya Kidato cha nne ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi (wapili kulia), akiwa na Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir (wapili kushoto),Mkurugenzi wa Chuo cha Al Haramain, Ally Abdullah Ally (kulia) na Mkuu wa Taaluma, Mwalimu Rashid Kassim (kushoto), wakati wa mahafali hayo, leo jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wahitimu wa kiume wa Kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, wakiwa katika mahafali yao ya 27 ya shule hiyo, jijini Dar es Salaam leo.
Wahitimu wa kike wa Kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, wakiwa katika mahafali yao ya 27 ya shule hiyo, jijini Dar es Salaam leo. 
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza wa shule hiyo, Hairat Hashim, akisoma Kur'an wakati wa ufunguzi wa mahafali hayo. 
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza wa shule hiyo, Mwajuma Ally, akitoa tafsiri ya Kur'an iliyosomwa na Hairat Hashim, wakati wa ufunguzi wa mahafali hayo. 
Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir, akimkaribisha mgeni katika hafla ya mahafali hayo pamoja na wazazi wa wanafunzi na wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika mahafali hayo. 
Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza wa shule hiyo, Hairat Hashim, akisoma utenzi wa kuwaaga wanahitimu hao.
Mhitimu wa kidato cha nne, Siti Mohammed akisoma risala ya wahitimu. 
Wana Madrassa ya Baabul Aswaa, wakipiga dufu wakati wa mahafali hayo. 
Wahitimu wa kiume wakicheza dufu. 
Wahitimu wa kike wakicheza dufu. 
Wahitimu wa kidato cha nne, Aisha Kamna (wapili kushoto) na Wiaam Hamid, wakisoma utenzi wa shule hiyo. Kushoto anayesaidia ni Nasra Ibrahim na kulia ni Amina Ismail. 
Mkuu wa Chuo cha Al Haramain, akitoa maelezo machache kwa wazazi na wageni waliofika katika mahafali ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain.
Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir, akisoma risala ya shule hiyo kwa mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi (wapili kulia), wakati wa mahafali hayo, jijini leo.
Mgeni rasmi, katika mahafali ya 27 ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi, akitoa hotuba yake, wakati wa mahafali hayo, jijini leo. 
Mgeni rasmi, katika mahafali ya 27 ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi, akitoa hotuba yake, wakati wa mahafali hayo, jijini leo. Wanaoteta kushoto ni Mkuu wa Taaluma, Mwalimu Rashid Kassim na Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir. 
Mwalimu Bora wa Somo la Kiingereza, Mwalimu Pili Mwale, akipokea zawadi ya shukurani. 
Mhitimu Amina Salum, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne kutoka kwa mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi. Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir.
Mhitimu Nasra Mawambwa, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne kutoka kwa mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi.
Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir. 
Mhitimu Sitti Khamis, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne kutoka kwa mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi. Wapili kushoto ni Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir. 
Mhitimu Wiaam Jongo, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne kutoka kwa mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi. Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir. 
Mhitimu Abeid Madandi, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne kutoka kwa mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi. Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir. 
Mhitimu mtoto wa Mkurugenzi wa blogu hii, Ally Kassim Mbarouk, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne kutoka kwa mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi. Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir. 
Mhitimu Hussein Lipemba, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne kutoka kwa mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi. Wapili kushoto ni Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir. 
Mhitimu Idrisa Mohammed, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne kutoka kwa mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi. Wapili kushoto ni Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir. 
Mhitimu Khamis Mohammed, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne kutoka kwa mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah
Mnyasi. Wapili kushoto ni Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir. 
Mhitimu Ramadhan Yussuf, akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne kutoka kwa mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi. Wapili kushoto ni Mkuu wa Shule ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir. 
Walimu wa Shule ya Al Haramain, wakipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu katika mahafali hayo na mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh
Abdallah Mnyasi (watano kushoto), wakati wa mahafali hayo.
Walimu na wahitimu wa kike wa kidato cha nne wa shule hiyo, wakipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu katika mahafali hayo na mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi (watano kushoto), wakati wa mahafali hayo.   
Walimu na wahitimu wa kiume wa kidato cha nne wa shule hiyo, wakipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu katika mahafali hayo na mgeni rasmi, Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi (watano kushoto), wakati wa mahafali hayo.

No comments:

Post a Comment