Farid Mussa wa Taifa Stars, akimtoka Solomon Kwambe wa timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zimetoka suluhu. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Farid Mussa wa Taifa Stars, akitafuta mbinu ya kumtoka Solomon Kwambe wa Nigeria, wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Farid Mussa wa Taifa Stars na Solomon Kwambe wa Nigeria, wakikimbilia mpira wakati wa mchezo huo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Farid Mussa wa Taifa Stars, akipiga mpira krosi iliyompita Ahmed Mussa wa timu ya Taifa ya Nigeria, wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Thomas Ulimwengu wa Taifa Stars (kulia), akipambana kuwania mpira na Kenneth Omeruo, wa Nigeria, wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Thomas Ulimwengu wa Taifa Stars (kulia), akikimbilia mpira na Kenneth Omeruo, wa Nigeria, wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mashabiki wa Stars, wakionesha alama inayotumiwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakati wa mchezo wa timu ya Taifa Stars dhidi ya Nigeria.
Mashabiki wa timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, wakifuatilia mchezo dhidi ya Taifa Stars ya Tanzania, kuwania kufuzu kwa Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mashabiki wa timu ya Taifa ya Nigeri, Super Eagles wakionesha bango la kuonesha kuipenda timu yao hiyo pamoja na kocha wake, Sunday Olisah, wakati wa mchezo dhidi ya Taifa Stars jijini leo.
Mrisho Ngassa wa Taifa Stars, akijaribu kuunganisha mpira kuelekea wavuni wakati wa mchezo dhidi ya timu ya Taifa ya Nigeria, kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars (kulia), akijaribu kutaka kumpita Solomon Kwambe, wa timu ya Taifa ya Nigeria, wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars (kulia), akijaribu kutaka kumpita Solomon Kwambe, wa timu ya Taifa ya Nigeria, wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars (kulia), akijaribu kumpita Solomon Kwambe, wa timu ya Taifa ya Nigeria, wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars na Solomon Kwambe, wa timu ya Taifa ya Nigeria, wakakikimbilia mpira wakati wa mchezo huo.
Ubao wa matokeo ukionesha Taifa Stars 0, Timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles 0.
Mashabiki wa Stars, wakifuatilia mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Afcon 2017, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mashabiki wa timu ya Taifa, Taifa Stars, wakiwa wamevalia vinyago wakishangilia timu yao, wakati wa mchezo huo, wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon 2017 dhidi ya timu ya Taifa ya Nigeria, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Shabiki wa timu ya Taifa, Taifa Stars, akiwa ameshikilia ungo na tunguli, wakati wa mchezo huo.
Mashabiki wa Stars, wakionesha alama inayotumiwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakati wa mchezo wa timu ya Taifa Stars dhidi ya Nigeria.
Shabiki wa Stars akionesha rangi zinazotumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akiwa amevalia kofia ya chama hicho, wakati mashabiki wa vyama hivyo walipolipuka uwanjani hapo.

No comments:
Post a Comment