Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Mhandisi. Boniface Njombe akichangia mada katika warsha kuhusu Mifumo mbalimbali ya biashara kwa soko la Jotoardhi. Warsha iliyofanyika siku ya tarehe 2 Septemba, 2015 jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau mbalimbali kutoka Kampuni ya Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na TANESCO wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa mada kuhusu Mifumo mbalimbali ya biashara kwa soko la Jotoardhi, warsha iliyofanyika siku ya tarehe 2 Septemba, 2015 jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wadau mbalimbali kutoka Kampuni ya Uendelezaji wa
Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Timu ya Shirika linanoshughulikia masuala
ya Jotoardhi Afrika Mashariki (EAGER), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na
TANESCO wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa warsha hiyo iliyofanyika jana, tarehe 2
Septemba, 2015 jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benedict Liwenga -Maelezo)
No comments:
Post a Comment