Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Haji Duni akiwapungia wanawanchi wa kijiji cha Kisumba, mkoani Rukwa baada ya wananchi hao, kuuzuia msafara wake leo. (Picha zote na Francis Dande)
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akizungumza na wanawanchi wa Kijiji cha Kisumba mkoani Rukwa baada ya msafara wake kuzuiwa.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwahutubia wanawanchi wa Kijiji cha Kisumba mkoani Rukwa baada ya msafara wake kuzuiwa na wananchi hao.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwahutubia wanawanchi wa Kijiji hicho cha Kisumba mkoani Rukwa.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwaaga wanawanchi wa Kijiji hicho cha Kisumba mkoani Rukwa mara baada ya kuwahutubia walipouzuia msafara wake.
Msafara wa Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema ukishindwa kupita katika kijiji cha Kisumba Nyakasanga, wilayaya Kalambo mkoani Rukwa leo, baada ya wananchi kuuzuia msafara huo ili mgombea huyo aweze kuhutubia wananchi waliokusanyika na kufunga njia.

No comments:
Post a Comment